Wanafunzi wa chuo cha maabara St.Aggrey kilichopo Mbeya wakisikiliza maelezo ya kina kutoka kwa viongozi kabla ya kufunguliwa tawi la TAMELASA (Tanzania Medical Laboratory Students Association) chuoni kwao 15/10/2014
Wanafunzi wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa TAMELASA Taifa
Rais wa chama cha wanafunzi wa afya za maabara Tanzania akitoa ufafanuzi wa jambo katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment