Pages

Sunday, March 12, 2017

We are moving ....... MORE STEPS ....

CUHAS (Bugando Mwanza)

National Leaders (Mololo Noah -Vice President and Mussa Msami-General secretary), CUHAS Leaders and members at TAMELASA CUHAS Sport Bonanza

 

Vice President (Mololo Noah)  at HYDOM Health college Manyara


General secretary at center with Medical laboratory student in one of college in Tanzania




TAMELASA PRESIDENT, Hon A. Mnyonge during Branch visitations


MEDICAL LAB STUDENTS- SINGIDA COLLEGE

HON PRESIDENT (ANSWARI MNYONGE)


 


TAMELASA HYDOM MANYARA with  VICE PRESIDENT (Mololo Noah) 


1 comment:

  1. Ni aibu mpaka sasa chama cha Tamelasa tunatumia free domain ya blogspot badala ya kununua jina letu ambalo ni Tsh 25000/= kuwa na jina La www.tamelasa.co.tz ni elfu 25 tu.

    Ina maana tumekosa hiyo pesa ya kununua domain name yetu tukaonekana ni kweli taasisi inayojiendesha kwa kuaminika na kupelekea hata misaada kuja kirahisi...?

    this is not good.

    ni taasisi inayoonyesha udhaifu sana kuliko taasisi zote za makada wa afya....
    Tena cha kushangaza ni kuwa Hata hiyo e-mail walio iandika kuwa ni ya tamelasa ni ya uongo haiko registerd.
    haitambuliki...
    Kwann tunaendesha taasisi kihuni namna hii.
    kwann tunaweka ubabaishaji katika swala nyeti na la muhimi namna hii..

    Unadhani utamkomvisi vipi mtu aamini hii taasisi kama tu tunafanya vitu ki ovyo ovyo wakati taasisi inajinadi kuwa iko offical...

    Mi nadhan imefika wakati tupewe nafasi kama wakongwe wa chama hiki tunaokijua vizuri tutoe maoni yetu direct kwa viongozi kuwa tunatakiwa tuwe na mtu atakaye simamia mambo yote muhimu ya kutoa na kupokea taarifa katika njia sahihi na zinazoaminika...

    Jaribuni kutuma sms kwenye hiyo e-mail walotoa ya tamelasa@yahoo.com muone kama itaenda...

    Best Regards.
    Mr. SHAFII SAID
    DMLS UDOM 3rd year 2016/17

    ReplyDelete