Pages

Friday, October 28, 2016

University of Dodoma TAMELASA branch opening.

Tarehe 25/05/2016 Rais wa TAMELASA alifanya ziara ya ufunguzi wa tawi jipya la UDOM(University of Dodoma).


Wanafunzi wa kozi ya maabara za afya(Medical laboratory students) walijitokeza kwa wingi katika ufunguzi huo.

Rais wa TAMELASA 2016/2017 Ndg Answar Mnyonge (wa kwanza kutoka kushoto-mwenye koti la suti) akiwa UDOM

Wanafunzi wa UDOM wakifuatilia kwa umakini kila kinachoendelea katika ufunguzi wa tawi lao.


Baada ya hapo ilifuatiwa na ziara katika Chuo cha St.John Dodoma........

Kutoka Kushoto ni Rais Mhe. Answar Mnyonge(aliyevaa suti) na Mwanzilishi/mfuatiliaji mkuu wa Tawi la TAMELASA St John kuhakikisha chama kinafunguliwa chuoni hapo..Homhera sana mpiganaji wetu wa Medical Laboratory students wa St John na Taifa kwa ujumla.
Rais Mhe. Answar Mnyonge alifanikiwa kuwaona wanafunzi wa maabara wa chuo cha St John na kuongea nao mengi kuhusu TAMELASA.
Wanafunzi wa maabara za afya wa chuo cha St John wakiwa na Rais wa TAMELASA baada ya kikao na mazungumzo.



1 comment:

  1. merkur blackjack joker online merkur blackjack online merkur blackjack
    Rating: deccasino 4 메리트 카지노 주소 · ‎1 หารายได้เสริม vote

    ReplyDelete