Pages

Wednesday, November 5, 2014

Picha za viongozi wa TAMELASA eastern zone

 Baadhi ya viongozi wa TAMELASA wakipiga picha baada ya kumaliza mkutano wao siku ya Jumamosi 1/11/2014 kutoka kushoto ni Magdalena (makamu mwenyekiti IMTU), Eliza (katibu IMTU), Ernest (mwenyekiti MUHAS) na Magonyozi(mwenyekiti IMTU)


 Makamu wa Raisi TAMELASA Mr. Joachim Chacha (wapoli kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TAMELASA IMTU

No comments:

Post a Comment