KWANZA KABISA NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII
KUWAPONGEZA WANA TAMELASA CUHAS –BUGANDO MWANZA PAMOJA NA WADAU WOTE KWA
KUONESHA KUWA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA
PALIPO NA NIA MOJA. KIPEKEE NAUPONGEZA UONGOZI WA TAMELASA-CUHAS
CHINI YA MWENYEKITI
WA TAWI NDUGU, ALPHONCE CHARLES
I’ M PROUD OF YOU DUDES
AMBELE ALIAH
PRESIDENT
……………………………………………………………….
Katika kuwakaribisha wanafunzi
wa mwaka wa kwanza wa Degree na
Diploma za maabara tiba katika chuo kikuu cha CUHAS –BUGANDO wana TAMELASA wamefanya
tamasha kubwa na BONANZA tar 08/11/2014 likifuatiwa na tafrija iliyofanyika katika
ukumbi wa Gold city hapa jijini Mwanza tafrija
hiyo pamoja na
mabo mengine iliambatana na tukio
kutunisha mfuko wa
tawi (FUND RISING) ambapo pesa taslim
na ahadi zilizotolewa ziliweza kufikia lengo na zaidi. Mimi mwenyewe Mr President nilikuwepo kushuhudia maandalizi ya mwisho na jinsi
walivyoendesha zoezi zima. Nitawaletea baadhi ya matukio yaliyojiri
oneni uhondo ilikuwa Nishedaaaa
BONANZA
Kulikuwa na michezo mbalimbali ambayo ilileta raha na kuifanya siku iwe ya kukumbukwa
1. kukuimbia na Gunia
2. Riadha mita 100
3. kufukuza kuku
4. shindano la kula
5. kufukuza kuku na
6. mpira wa miguu
Baadhi ya wanafunzi wakifuatilia Bonza hilo wengine wakisubiri muda wa mchezo wanaoupenda wapate kushiriki
Shindano la kukimbia na gunia washindani walikuwa ni Benson Natus, Lista John, Ibrahim Daudi, na Fred Edward
Mpambano ukiendelea
Mshindi wa shindano la kukimbia na Gunia Bw Fred Edward wa mwaka wa kwanza
Riadha mita 100 wanaume
mpambano ulikuwa mkali lakini Bw Enock (pichani) aliibuka kidedea
Riadha wanawake palikuwa hapatoshi... yaani ni burudani xaaaana
Mshindi wa riadha wanawake pichani juu Bi Happy
First year na continuing students hawakuacha kutunishiana misuli kwa kuvuta kamba
Hapa Continuing students waliwagaragaza first year bila huruma
No comments:
Post a Comment