Pages

Wednesday, November 12, 2014

CUHAS-BUGANGO matukio 2

Ilikuwa ni Shedaaaaa.
HONGERENI SANA (watoto wa baba paroko)

 Kuku aliye karibia kuwatoa roho wanafunzi... maana ilikuwa ukimkamata wakooooo, watu walisha nunua vitunguu ilikuwa shedaaa
 Kuku kuku kuku


 Hahahahaaa ilikuwa ni mpambano wa kukata na shoka mshidi akapatikana ambaye ni Bw. Elia Sigonda wa first year
 Shindano la kula sina cha kusimulia zaidi
 kula kula kula kula ....ilikuwa kaaazi kwelikweli
Kila mmoja alijitahidi kuonyesha umahili wakewa kupakia mzigo
Hatimaye washindi walipatikana si wengine ni kijana Baraka (juu) kwa wanaume na Bi Asha (chini) kwa Wanawake
Waratibu wakiendelea kuhakikisha kilakitu kinakwenda sawa

1 comment:

  1. Mohegan Sun: Now Open! Casino Hotel - KTNV
    When it 경산 출장샵 comes to 대구광역 출장샵 hotel 충주 출장안마 rooms 출장샵 and suites, the Mohegan Sun is not for the faint of heart. The resort features luxurious 김해 출장마사지 rooms, world-class restaurants,

    ReplyDelete