Kutakuwa na
mkutano wa viongozi wote wa matawi ya TAMELASA kanda ya mashariki.
Mahali : Muhimbili MTC Hostel
Washiriki : Viongozi
wa matawi i.e. Mwenyekiti, katibu na Mhazini
Ajenda : 1. Utambulisho
2.
Taarifa (taifa)
3.
Taarifa (matawi)
4.
Matukio ya kufanya (kabla December30, 2014)
5.
Mikakati ya kuboresha chama -kanda
6.
Mengineyo
7.
Kuahirisha kikao
Tunategemea
kikao kitakwisha sio zaidi ya saa nane (8:00)mchana, hivyo basi tuwahi kuanza
ili tumalize mapema
Kama una maswali
maoni au ushauri tuma sms au piga simu Nr 0716078422 au andika mwisho wa hili
tangazo kwenye kibox cha comments
Natanguliza shukrani za dhati
Ambele Eliah
President TAMELASA
No comments:
Post a Comment