Pages

Friday, October 17, 2014

RUCO event

Picha chini. Wanafunzi wa  fani ya maabara chuo cha RUCO Iringa wakifuatilia maelezo kutoka kwa rais wa TAMELASA Tanzania October 9, 2014 




 

Pichani chini: Rais wa chama cha wanafunzi wa maabara Tanzania -
TAMELASA (kulia) akisikiliza maswali na hoja mbalimbali za wanachama tawi la RUCO kabla ya kujibu na kutoa ufafanuzi mbalimbali
Pichani chini: Sehemu ya viongozi wa TAMELASA na wawakilishi wa vitivo vingine chuoni RUCO wakifuatilia mkutano wa wanafunzi wataalamu wa maabara za afya ya binaadamu
Ndau wa maabara ambaye ni mwanafunzi wa RUCO akichangia maada
Wadau wakiendelea kutoa michango mbalimbali ya kujenga fani hii ya maabara nchini. Mkutano ulifana sana
Tuna washukuru sana viongozi, walimu na wadau wote wa fani hii ya maabara kwa kutuunga mkono kwa vitendo katika mkutano wetu mkubwa pale RUCO
Hii ni sehemu ya walimu na viongozi ambao tulishirikiana nao
TUNAWASHUKURU

No comments:

Post a Comment