Pages

Friday, October 28, 2016

NATIONAL LEADERS VISITATION!

Ziara za kutembelea matawi ya TAMELASA nchi nzima zinaendelea .....hata wewe tutakufikia!

Ziara ya SOUTHERN HIGHLANDS ZONE ilianza kwa Vice President Hon. Mololo Noah kufika Chuo cha afya Mbalizi September 2016  kwa lengo la Kukitangaza chama na kuwaunganisha wanachuo katika chama chao.
10 Medical Lab student with Vice President Mololo Noah(mwenye t-shirt) alipofika Chuo cha Afya Mbalizi Mbeya.

Mbalizi 2015-2017 Student wakiwa na mkuu wao wa chuo Mwl.Shukuru.
Ziara zinaendelea katika vyuo vilivyopo kusini mwa Tanzania, Our National Treasurer Hon.Matilda Nyoni aliweza kukutana na vyuo vitano , 
1.Litembo college-Songea
2.GAGETI college -Mafinga
3.Amenye college-Mbeya
4.Mbalizi college -Mbeya
5.Tandabui college-Mwanza (walikuwepo Mbeya kwa ajili ya kufanya mitihani yao).

Wanafunzi wa vyuo vitano kwa mchanganyiko walipokutana na National Treasurer katika chuo cha Amenye (AMENYE COLLEGE OF HEALTH SCIENCES)-Mbeya.
Baaada ya kikao cha Mbeya , Tarehe 12/10/2016 safari ya uhamasishaji iliendelea mpaka mkoa wa Njombe katika chuo cha Lugarawa.
Mtunza haizna wetu wa Taifa aliweza kutembelea tawi hilo....Asanteni sana Lugarawa kwa mapokezi ya nguvu.
Mkuu wa chuo cha Lugarawa Sis Candida, Mtunza hazina Mhe Matilda Nyoni, Walimu na wanachuo wa Lugarawa wakifurahi kwa pamoja.

Tarehe 13/10/2016 , safari iliendelea na kuwafikia watu wa Iringa katika chuo cha RUCU(Ruaha Catholic University).
Mtunza hazina wa Taifa Dada Matilda Nyoni akifafanua baadhi ya mabo na kujibu maswali ya wanachuo wa RUCU.
Tawi kubwa na kongwe la Rucu wakisikiliza hotuba ya  Mtunza hazina wa Taifa baada ya kipindi cha mwaka mmoja bila uongozi wa tawi.
Dr Mgimwa (Vice Chancellor wa RUCU) akishukuru uongozi wa Taifa kumtembelea chuoni kwake.

Ziara zote zilikuwa na mafanikio makubwa ........MWANZA, MOSHI, TANGA, SINGIDA, TABORA ....TUTAKUFIKIA!


!VIVA TAMELASA VIVA!

No comments:

Post a Comment