Matawi mapya ya TAMELASA katika vyuo vya Mbalizi na St Aggrey yamefanya uchaguzi na kupata viongozi wao wa kwanza wa matawi hayo.
MBALIZI viongozi ni:
Ntiga Mtawali : Mwenyekiti
Shadrack Sanga : Makamu Mwenyekiti
Pendo Range : Katibu
Yesse Charles : Mhazini
St.AGGREY viongozi ni:
Hairu Issa : Mwenyekiti
Miriam F. Lwinga : Makamu Mwenyekiti
Janneth L. Mbanga : Katibu
Japhet Abel : Mhazini
HONGERENI SANA
Tunawatakia uongozi mwema katika kipindi chenu hiki ambacho ndio kwanza matawi yenu yamezaliwa ..............Together as one we can
No comments:
Post a Comment