Pages

Wednesday, November 26, 2014

Softy Trainer's training on 22 to 23 nov2014

Training ya ujasiliamali na uwajibikaji kazini ilifanyika katika vyuo vya MUHAS na IMTU siku ya jumamosi na jumapili tarehe 22 na 23 mwezi November 2014. Siku ya kwanza mafunzo yalifanyika tofauti lakini siku ya pili wanafunzi wa Muhimbili na IMTU walifanya mafunzo pamoja katika chuo kikuu cha MUHAS. Tujikumbushe baadhi ya matukio
 Baadhi ya wanafunzi wa IMTU walio hudhuria mafunzo ya Ujasiliamali jumamosi (wawekezaji na matajiri wa kesho)

 Hapa darasa likiendelea Muhimbili siku ya Jumapili

 Baadhi ya wanafunzi wa IMTU wakijadili mambo ya TAMELASA

 Rais wa TAMELASA akieleza jambo
 Mwenyekiti wa TAMELASA IMTU akibadilishana mawazo na CR wa semester3 Laboratory

1 comment: