Tarehe 19/12/2014 ulifanyika mkuta noa wa wanafunzi wa fani ya maabara tiba katika chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala. kilichopo eneo la Gongo la mboto jijini Dar es salaam
Zifuatazo ni picha za matukio mbali mbali
Raisi wa TAMELASA taifa akitoa historia ya chama kwa wanafunzi
Sehemu ya wanafunzi wa KIU wakifuatilia maeleza ya viongozi wa TAMELASA taifa
Mmoja ya wajumbe wa TAMELASA taifa Ndg Shekue Liwali akiendesha zoezi la uchaguzi wa viongozi wa muda
Iikua xafi xana
ReplyDelete