Ziara ya SOUTHERN HIGHLANDS ZONE ilianza kwa Vice President Hon. Mololo Noah kufika Chuo cha afya Mbalizi September 2016 kwa lengo la Kukitangaza chama na kuwaunganisha wanachuo katika chama chao.
10 Medical Lab student with Vice President Mololo Noah(mwenye t-shirt) alipofika Chuo cha Afya Mbalizi Mbeya. |
Mbalizi 2015-2017 Student wakiwa na mkuu wao wa chuo Mwl.Shukuru. |
1.Litembo college-Songea
2.GAGETI college -Mafinga
3.Amenye college-Mbeya
4.Mbalizi college -Mbeya
5.Tandabui college-Mwanza (walikuwepo Mbeya kwa ajili ya kufanya mitihani yao).
Wanafunzi wa vyuo vitano kwa mchanganyiko walipokutana na National Treasurer katika chuo cha Amenye (AMENYE COLLEGE OF HEALTH SCIENCES)-Mbeya. |
Baaada ya kikao cha Mbeya , Tarehe 12/10/2016 safari ya uhamasishaji iliendelea mpaka mkoa wa Njombe katika chuo cha Lugarawa.
Mtunza haizna wetu wa Taifa aliweza kutembelea tawi hilo....Asanteni sana Lugarawa kwa mapokezi ya nguvu.
Mtunza hazina wa Taifa Dada Matilda Nyoni akifafanua baadhi ya mabo na kujibu maswali ya wanachuo wa RUCU. |
Tawi kubwa na kongwe la Rucu wakisikiliza hotuba ya Mtunza hazina wa Taifa baada ya kipindi cha mwaka mmoja bila uongozi wa tawi. |
Dr Mgimwa (Vice Chancellor wa RUCU) akishukuru uongozi wa Taifa kumtembelea chuoni kwake. |
Ziara zote zilikuwa na mafanikio makubwa ........MWANZA, MOSHI, TANGA, SINGIDA, TABORA ....TUTAKUFIKIA!
!VIVA TAMELASA VIVA!