Pages

Friday, April 24, 2015

Change of dates for Get together and Educational tour

Kuna mabadiliko ya ratiba kwa hizo events mbili. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo maandalizi kuingiliwa na matukio mengine yaliyogusa shughuli nzima za wanafunzi pia maombi kutoka kwa wanafunzi wa baadhi ya vyuo ili wajiandae vizuri
kwa hiyo ile tarehe 25/04/2015 imesogezwa hadi 02/05/2015 na tarehe 02/05/2015 imesogezwa hadi tarehe 09/05/2015.


Barua za mialiko zimetumwa kwa viongozi wa matawi.

Rais TAMELASA
24 April 2015